Evarist Chahali
-
Ugaidi ni Nini? Na Magaidi ni Watu Gani Hasa? Sehemu ya Tisa: Upande mwingine wa historia ya al-Qaeda – kuchipuka kutoka Maktab al-Khidamat
.
Karibu katika mfululizo wa makala kuhusu ugaidi. Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu. Kadhalika, hivi karibuni mwandishi alihitimisha mfululizo mwingine wa makala kuhusu
-
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusiana na ajali ya helikopta iliyopelekea kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla jana, ajali kweli au ‘kuna mkono wa mtu’?
.
Mkuu wa Majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla alifariki jana alasiri baada ya helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuanguka eneo la Sindar, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na Rais William Ruto katika hotuba yake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Bashite amemdanganya Rais na Watanzania kuhusu “mawaziri wanaolipa watu ili mkuu wa nchi atukanwe mtandaoni”, je Mama @SuluhuSamia ataendelea kumbeba Bashite?
.
Juzi, Jasusi aliwasilisha kwenu uchambuzi wa kiintelijensia wa kina kuhusu tuhuma za Bashite kwamba kuna viongozi waliwemo mawaziri wanaolipa watu wamtukane Mama Samia mtandaoni. Licha ya tishio lake kwamba jana angetaja majina ya viongozi ikiwa ni pamoja na mawaziri “wanaowalipa watu kumtukana Mama Samia mitandaoni”, hakuna kilichotokea (kama alivyobas…
-
Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi – Sehemu ya Kumi Na Tano: “Mwanangu, nahitaji msaada wako”
.
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika. Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na mbili. Soma sehemu ya kwanza HAPA
-
Uchambuzi wa kiintelijensia: tuhuma za Bashite kuwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama Samia ni za kweli au porojo? Ni tuhuma zake kweli au katumwa? Mabadiliko kabineti ya Mama yanukia
.
Kwa mara nyingine, Bashite ametawala anga za habari kufuatia tuhuma nzito alizotoa jana huko Arusha kwa Mama Samia wakati wa kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani marehemu Edward Sokoine. Tuhuma hizo za Bashite ni kama alivyotamka kwenye video hii
-
Ulinzi wa taarifa binafsi ni jambo muhimu lakini lisiwe kama ile sheria ya cybercrime ‘inayowalinda viongozi pekee,’ taarifa binafsi zenye maslahi kwa umma zinapaswa kuwa exempted
.
Jana Rais Samia Suluhu alizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Kwamba hatua hiyo sio tu ni muhimu bali pia inastahuli kupongezwa, sio jambo la mjadala. Moja ya mahitaji muhumu zaidi ya binadamu ni haki ya kuwa na faragha. Na…
-
Waraka wa Pasaka kutoka kwa Jasusi kwenda kwa maafisa wote wa Idara ya Usalama wa Taifa
.
gu maafisa, Poleni na majukumu muhimu ya kuhakikisha Tanzania yetu sio tu ipo salama bali inabaki salama muda wote.
-
CCM yawapitisha mabosi wa zamani wa kitengo Kipilimba, Diwani na Masoro kuwa warithi wa nafasi ya uenezi ya Bashite, pia wamo ‘pacha wa Bashite’ Nzowa na Sabaya kwenye unaibu
.
Pengine katika kuimarisha uhusiano kati ya CCM na kitengo, chama hicho tawala kimepitisha majina ya wakuu wa zamani wa kitengo Dokta Kipilimba, Diwani Athumani na Saidi Masoro kwa ajili ya nafasi ya Mwenezi iliyoachwa wazi na Bashite aliyeshushwa cheo juzi na kupewa ukuu wa mkoa.
-
Heri ya Pasaka: burudika na hadithi hii ya kutunga ya Jasusi iitwayo “Upendo wa Pasaka: Hadithi ya Emmanuel”.
.
1. Ajali ya moto kabla ya Pasaka Katika Jiji la London, nchini Uingereza, mbali na nyumbani kwao Tanzania, aliishi Emmanuel Mkono. Kijana mwenye nguvu, mwenye tabasamu na macho yaliyojaa ndoto, Emmanuel alikuwa mbali na familia yake akitafuta maisha mazuri zaidi. Alikuwa akifanya kazi mbili, kama mlinzi kwenye supamaketi na mpishi kwenye mgahawa mmoja wa…
-
Mfululizo wa makala zinazofundisha jinsi ya kutumia “48 Laws of Power”katika maisha yako ya kila siku: Sehemu ya Kwanza – Orodha ya Laws zote na tafsiri yake kwa Kiswahili
.
Hizi ni baadhi ya tafsiri ya neno la Kiingereza power kwa mujibu wa kamusi ya TUKI uwezo. more ~ to your elbow safi, endelea! ~ boat n (see motor boat). ~ dive n ndege ipigayo mbizi hewani. ~ driven adj -enye nguvu ya injini; -a mitambo/ uwezo. ~ house/station